Katibu
Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Shaaban Mwinjake (kushoto),
akikanusha kuwepo kwa ugonjwa huo kama ilivyodaiwa na baadhi ya vyombo
vya habari.Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Dharura na Maafa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Elias Kwesi.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Dharura na Maafa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,
Dk.Elias Kwesi, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es
Salaam leo wakati wakikanusha kuwepo kwa ugonjwa wa Ebola nchini.
Mkurugenzi
Mkuu wa Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Suleiman Said Suleiman
akizungumza namna TAA ilivyojipanga kuhakikisha hakuna msafiri kupitia
viwanja vya ndege mwenye ugonjwa huo atakayeingia nchini bila ya
kugundulika.
Msaidizi
wa Mkuu wa Kituo cha Uhamiaji Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA), Asha Omar akielezea namna Uhamiaji walivyojipanga
kuhakikisha inawatambua wageni wanaoingia nchini hasa wale wanaotoka
nchi zilizoathiriwa na ugonjwa huo.
Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya na Ubora, Dk.Fausta Mosha (kulia), akitoa ufafanuzi wa kimaabara kuhusu ugonjwa huo.
Maofisa wa JNIA wakiwa kwenye mkutano huo.
Maofisa
kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakiwa kwenye mkutano huo.
Kutoka kushoto ni Ofisa Afya Mfawidhi wa JNIA, George Ndaki, Mkurugenzi
Msaidi wa Ufuatiliaji wa Ugonjwa, Janeth Nghambi, Mkurugenzi wa Maabara
ya Taifa ya Afya na Ubora, Dk.Fausta Mosha na Mkurugenzi Msaidizi Afya
na Usafi wa Mazingira, Elias Chinamo.
Wanahabari na wadau wengine kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Uwanja wa Ndege wakiwa kwenye mkutano hu