Moto huo umetokea majira ya saa 1:10 na kusababisha maeneo kadhaa ya mji wa Moshi kukosa umeme hadi sasa. Globu ya jamii imeshuhudia kikosi cha zimamoto kutoka manispaa ya moshi kikijaribu kuzima moto huo ambao hata hivyo ulikwisha teketeza sehemu kubwa ya kituo hicho cha kupozea umeme
Saturday, August 16, 2014
MOTO WATEKETEZA KITUO CHA KUPOZEA UMEME CHA MJINI MOSHI
at
4:54 AM