Tuesday, July 22, 2014

UKWELI KUHUSU VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYOKAMATWA BUNJU, DAR ES SALAAM UMEPATIKANA

Habari zimethibitisha kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka chuo cha udaktari IMTU kilichopo Mbezi baada ya wanafunzi kumaliza kutumia kwa mazoezi. Viungo hivi vilitupwa baada ya mukosa pesa za kuteketeza kwenye tanuri maalum