MWENYEKITI wa Bongo Muvi, Steve Nyerere jana usiku aliwaandaia chakula cha jioni mastaa na wadau mbalimbali wa filamu Bongo ikiwa ni kuungana na wenzao waliokatika mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Hafla hiyo ilifanyika ndani ya Great Wall Restaurant iliyopo Osterbay jijini Dar esa Salaam
Thursday, July 10, 2014
STEVE NYERERE AWAANDALIA 'DINNER' MASTAA NA WADAU WA FILAMU
at
10:55 AM