Wednesday, July 16, 2014

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU CCM LEO


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM jijini Dar es salaam leo