STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz', kesho ataachia video zake mbili ikiwa ni zawadi kwa mama yake mzazi, Sanura Kasim 'Sandra' aliyezaliwa Julai 7. Kupitia akaunti yake ya Facebook, Diamond aliandika hivi:
Sunday, July 6, 2014
HII NDIO ZAWADI ALIYOMWANDALIA DIAMOND MAMA YAKE BAADA YA KUTOKA NJE YA NCHI....
at
5:25 AM