Dodoma, Tanzania. Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema wakati
akichangia taarifa ya Kamati ya Sheria na Katiba muda mfupi uliopita
amemtaka Mbunge wa Kigoma Kaskazni Zitto Kabwe kumkabidhi AG majina ya
watu wote walioficha fedha Uswis ambayo alisema anayo.
Lema ameliambia Bunge kama Zitto na serikali wameshindwa kuwataja watu hao, wampe Lema majina hayo ili awataje.
Amefafanua kwamba hatahitaji kinga yeyote kuwataja wezi hao walioficha fedha Uswis ndani ya Bunge au nje ya Bunge