
Meneja mpya wa Manchester United, David Moyes anaendelea kukabiliwa na kibarua kizito kutokana na kikosi chake kuendelea kufanya vibaya tangu akabidhiwe mikoba na meneja wa zamani, Alex Ferguson. Hii ni baada ya kijana mmoja anayeaminika kuwa shabiki wa timu hiyo kujiua juzi. Dec 7 jijini Nairobi, Kenya baada ya timu yake kufungwa 1-0 na Newcastle.
“Mashahidi wote waliokuwepo wakati wa tukio bado wapo mikononi mwa polisi wanahojiwa,” alisema.
Naye rafiki wa karibu wa marehemu alisema kabla ya kuanza kwa mpira marehemu John ,aliwaambia rafiki zake yeye hawezi kuangalia game kwenye banda la video anaenda kuangalia nyumbani kwake.
Source:KTN