Thursday, December 26, 2013

SNURA AFUNGUKA...., TUNDAMAN NDIO MWANAUME ALIYETUMIA NGUVU NYINGI KUNIINGIZA KATIKA TASNIA YA MUZIKI

Snura ameandika "Sijui nianzie wapi lakini huyu ndio mtu alie tumia nguvu kuniingiza kwenye muziki baada ya kuona kama siwaelewi hivi kila waliponiambia ....wakati anazindua album yake ya starehe gharama pale maisha aliamua kutengeneza tangazo ambalo lilisema snura atatambulisha wimbo wake mpya kwa mara ya kwanza kiukweli alinivuruga kwasababu mm sikua na wimbo wowote sasa kwa kuhofia aibu nishatangazwa ndio nikalazimika kwenda kurecod shogaake mama haraka sana na nikafanya hiyo show watu wakanielewa sana huo ndio ulikua mwanzo ....leo hii nimeona faida yake asante sana kakaangu tunda man mungu akubariki sana umekua mtu muhim sana kwenye maisha yangu tuendelee kushikana hivihivi kwa shida na raha nakupenda sana kakaangu @tundamancaptain ...msambinungwa...unajua nani anafuata fatilia shukrani hizi....."

                                                 Snura na Tundaman