Wednesday, December 11, 2013

RAIS KIKWETE ALIPOSHIRIKI HAFLA YA KUMBUKUMBU YA MZEE NELSON MANDELA UWANJA WA FNB JIJIN JOHANNESBURG


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013.
  Pichani juu na chini ni  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013.PICHA NA IKULU.