Msanii wa filamu Hemedy Suleiman aka PHD amealikwa
kufanya filamu iitwayo ‘Tangled Mess’ na mastaa wa Zambia akiwemo
shiriki wa BBA 8, Sulu Banda,mwanamuziki mkongwe wa Zambia Moureen
Lilanda na Dj mkongwe wa Zambia DJ Yahya Kiba kwa ajili ya kumuenzi
Kanumba