Thursday, November 21, 2013

PICHA:P-SQUARE WASHATUA UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU NYERERE USIKU HUU..


Wale wakuitwa mapacha wawili P-SQUARE usiku huu wameshatinga ndani ya jiji la Dar es Salaam kwa kishindo kikaliiiiiiiiii hahahaaa #hadiRAHA sasa hiyo kesho Jumamosi pale viwanja vya 

Leaders Club ndio patachimbika. Wasanii kutoka bongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Prof Jay, Lady Jay Dee, Joh Makini na Ben Pol