Thursday, November 14, 2013

Dr. Cheni amleta Mchina Bongo Movies. Mwenyewe adai biashara ngumu acha ajaribu fani..., check hapa ile scene akiwa amefumaniwa gest....



Baada ya kumuingiza shabiki maarufu wa yanga football club “Steven” sasa Dr Cheni afanya mabadiliko makubwa ya bongo movie baada ya kumuweka mchina kwenye movie yake mpya.

Moja ya scenes ambazo mchina huyo amecheza ni sehemu ambayo amefumaniwa akiwa Guest. 

Tuliamua kumtafuta Mchina huyo Mr. Chaoxiang Deming ( 朝翔 德明  ) kujua kwanini kwanini amemua kujiingiza kwenye tasnia ya filamu nchini na alidai ku
wa kwa sasa biashara imekuwa ngumu kidogo hivyo sio mbaya akajaribu kufanya mambo mawili matatu kuongeza kipato.I CHECK ILE SCENE  HAPO CHINI