Tuesday, November 5, 2013

DAIMOND ANASWA AKICHEZEA MATITI YA WANAFUNZI WA SEKONDARI..


Msanii  wa  bongo  fleva, Nasib  Abdul  'Diamond'  amenaswa  live  akichezea  matiti  ya  wanafunzi  wa  shule  mbalimbalimm  za  jijini  Dar...

Kwa  mujibu  wa  shuhuda  wetu, tukio  hilo  lilijiri  wiki  iliyopita  kwenye  maduka  ya  Mlimani  City  jijini  Dar  wakati  msanii  huyo  alipokwenda  kufanya  manunuzi  ya  vitu  binafsi....

Ilielezwa  kuwa,Diamond  akiwa  Mlimani   City,wanafunzi  walimvaa  na  kuanza  kuzunguka  naye kila  sehemu  aliyoingia...

Taarifa  zinaarifu  kuwa, wakati  wapambe  wake  walipojaribu  kuwazuia  wanafunzi  hao, Diamond   aliwaambia  wawaache  maana  ni  mashabiki  wake...

Baadae  wanafunzi  hao  waliokuwa  wanatamani  japo  kushika  upindo  wa  mavazi  yake  walimwomba  japo  awasainie   kwenye  sare  zao  za  shule  na  hapo  ndipo  upekuzi  huu  ulipokamilika...

Badala  ya  kuwasainia  sehemu  nyingine  ya  sare  zao,Diamond  alikuwa  akiwashika  vifuani  na  kusaini  sehemu  hiyo  huku  akiwagusagusa  matiti  yao...