Babu Seya na Papii Kocha walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.
Thursday, November 21, 2013
BREAKING NEWS:Babu Seya na Papii Kocha washindwa kesi na kurejeshwa jela tena kwa kifungo cha maisha
at
2:53 AM