Friday, October 18, 2013

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA RASMI MKOA WA NJOMBE LEO


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe huku  wazee wa Njombe wakirusha njiwa kuashiria kuzinduliwa rasmi mkoa wa Njombe leo Oktoba 18, 2013 katika Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe. PICHA NA IKULU
 Rais Jayaka Mrisho Kikwete akikagua  sehemu mbalimbali za kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013 .

  Rais Jayaka Mrisho Kikwete aki furahi na mkurugenzi wa kampuni ya mufindi tea & coffee limited ndg. Noel Lindsay Simth baada ya kufungua kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013
 Rais Jayaka Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara baada ya kufungua  kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013.Picha na Ikulu