
Rais 
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Vyama 
vya Siasa nchini,waliofika ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Rais 
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu kiongozi wa kambi ya 
upinzani Bungeni Mh.Freeman Mbowe mara baada ya mazungumzo nao leo ikulu
 jijini Dar es Salaam.Nyuma kushoto ni Kiongozi wa NCCR Mageuzi,Mh. 
James Mbatia na Professa Ibrahim Lipumba wa CUF.

Rais Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na Mhe.Tundu Lissu CHADEMA Nyuma ni Mhe.James Mbatia NCCR Mageuzi.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe. John Mnyika.

Rais 
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi wa 
Vyama vya upinzani muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo kuhusu rasimu 
ya katiba ikulu jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha kutoka kushoto
 Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR Mageuzi, Professa Ibrahim Lipumba 
CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip Mangula CCM, na Bibi Nancy Mrikaria 
aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mhe.Agustine Lyatonga Mrema.

Rais 
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa 
Vyama vya upinzani na wasaidizi wao waandamizi muda mfupi kabla ya 
kuanza mazungumzo kuhusu rasimu ya katika ikulu jijini Dar es Salaam 
leo.Kutoka kushoto mbele Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR Mageuzi, 
Professa Ibrahim Lipumba CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip Mangula CCM,
 na Bibi Nancy Mrikaria aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mhe.Agustine 
Lyatonga Mrema.Waliosimama Nyuma kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu CUF
 Bwana Julius Mtatiro,Mhe. Tundu Lissu CHADEMA, Bwana Martin Mng’ong’o 
NCCR Mageuzi ,Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge 
William Lukuvi, Mhe.Habib Mnyaa CUF, Mbunge wa Ubungo Kwa tiketi ya 
CHADEMA Mhe.John Mnyika, Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na 
Uratibu Mhe.Steven Wassira na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Mathias 
Chikawe.(picha na Freddy Maro