Saturday, October 19, 2013
NIPO TAYARI KUNYONGWA KWAAJILI YA HILI ILA SITATOA RUZUKU KWA CHADEMA WALA CCM WASIPOKAGULIWA"...ZITTO
at
2:01 AM
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Zitto Kabwe akitoa ufafanuzi juu ya taarifa yake ya mahesabu ya vyama 9 vya siasa ambavyo havijapeleka ripoti ya ukaguzi wake wa mahesabu kwa Msajili. Baadhi a vyama hivyo vilikanisha taarifa hiyo.