Wednesday, October 30, 2013

MTOTO WA MIAKA MINNE AKUTWA AMEFARIKI NDANI YA SHIMO LA CHOO CHA JIRANI MKOANI MBEYA




Mwili wa Marehemu Joshua Isaac, 4,  mara baada ya kutolewa kwenye shimo la choo cha jirani alikotumbukia  na kufikwa umati.
 Habari zinasema kwamba juzi marehemu alikuwa anacheza na wenzake kisha akatoweka. 
Wadau mbali mbali wakishuhudia jana hilo


Picha na Habari kamili tutawapa baadae.... endelea kufuatilia