Thursday, September 12, 2013

VIDEO:GAVANA WA KENYA AMCHAPA MAKOFI MWANAMKE ALIYEKUWA ANAULIZA MASWALI KUHUSU MISHAHARA AMBAYO HAIJALIPWA.



 Gavana wa kenya aitwae Kidero amezidisha mipaka kwa kumpiga kofi mwanamke aliyeenda kwenye ofisini kwake na kuanza kumuuliza maswali mengi kuhusu mishahara ambayo haijalipwa kwa baadhi ya wafanyakazi wa serikali. 
Gavana alikasirika mwanamke huyo alipomcofront  kuhusu issue hizo.Hapana chezea magavana wa kikenya....lol