Friday, September 6, 2013

ANGALIA PICHA YA AJALI ILIYOWAPATA WAANDISHI NA MAAFISA WA BUNGE KARATU JANA

IMG-20130905-WA0008
Gari lilivyopindukaMatukio ya picha baada waandishi na maafisa wabunge walivyonusurika katika ajari iliyotokea karatu jana.
Maafisa wa Bunge na waandishi walikuwa katika msafara wa Wabunge toka nchi za SADC waliokua wanaelekea ngorongoro
IMG-20130905-WA0010 Afisa Habari wabunge Owen Mwandumbya akiwa amepumzishwa ili apate hewa kidogo baada ya ajari 

IMG-20130905-WA0006IMG-20130905-WA0006 (1)IMG-20130905-WA0005IMG-20130905-WA0005 (1)IMG-20130905-WA0003Uokoaji unaendelea