Tuesday, September 24, 2013

AJALI:ABIRIA ZAIDI YA 50 WANUSURIKA KIFO IRINGA

ajali 7f5dd
Lori la Kampuni ya Ivory lililogongana uso kwa uso na Basi la Sai baba 
Askari wa usalama barabarani Iringa wakilitazama basi la kampuni ya Sai - baba Express lenye namba za Usajili T 668 BCD ambalo liligongana uso kwa uso na lori la kampuni ya Ivori lenye namba T 280 ADK eneo la Kibwabwa katika barabara kuu ya Mbeya - Iringa jana na watu zaidi ya watatu kujeruhiwa vibaya na wengine zaidi ya 50 ambao ni abiria wa basi hilo kunusurika kifo
ajali2 a0dc1
ajali3 f85f7
Abiria waliokuwa kwenye basi la sai baba.