Tuesday, August 20, 2013

SINTAH AWASHUKIA WANAOTUMIA MADAWA YA KULEVYA NA KUWAONYA WENYE TAMAA


   wale mnaojifanya mna hela kuweka instagram
sasa muone hii my friend
kuonyesha pesa sio ufahari eeeh
kudadadeki kitu cheupe mmekiona
 ze police ze mchina is kusakanyua
dadadeki usela ma....  wote mfukoni
Ogaaaaa ze kuenda kukaa 70 years in prison
 hell no
say no to drugs man
kama movie vile 
mapopo walivyovamiwa Dragon hotel 
kudadadeki ma police wengi 
nasikia walikuwa kama mia tano 
reporter kapiga nusu 
dada yetu Jackie, amekwisha
yeye si punda bali yamemkuta akiwa hotelini kwa
baby wake wakafanya zoazoaaa

na yeye akazolewa atiii

poor her

Team Nigerians girlfriends mpo @ mnajijuwa mnaoenda kulala nao mukienda China please alert waNigeria 200 wapo lockup  na wengine 18 wamejitupa ktk ghorofa hii ni baada ya police in China kuvamia hotel moja ya kifahari inayoitwa Dragon, 


wapenzi na duuuz in town wanaopenda wakina Ogaaaaz jamani jamani kama humpati mtu wako ktk simu hebu basi jiulize kunani watu mia mbili sio wadogo wajamenii, aiseeee wivu sina ila roho inaniuma wale waliojitupa wanahaki maana kunyogwa sio mchezo.


dada yetu Jackie alikuwa na bf wake ndo tushampoteza maana ze muchina doesnt ask unafanya nini ktk chumba cha mwanaume is kusaying lets go serooo mengine utajielezea na hivi no English inakuwa taab kwelilweli ze muchina no English sasa kujielezea mpaka akuelewe hauhusiki mamaa yake na mamaa.


poor her hana hata miezi sita China jamani wadadaaa wa mujini tamaa mbayaaa, kwa wale mnaomjua follow up  ili mjue mtafanyaje of course tumempoteza  ila nduguze juweni lini anashika kitanzii.


OOOh Lord have mercy on me sitaki kuwa natamaaa Shetanii toka, shindwa sitakii Tamaaa nakataa roho ya vishawishi. 


somebody say Amen


shukrani kwa reporter wangu kutoka RPC umetishajeee, ukiona hizi pics somewhere just know katoa hapa tu 


mad love kwa Team Sintah popote duniani ahsanteni sana kwa taarifa mbalimbali.
 
Posted by CEO Sintah (Unstoppable)