Saturday, August 31, 2013

VIDEO YA LULU AKIIMBA WIMBO WA LADY JAY DEE "YAHAYA" LIVE JUKWAANI


Elizabeth Lulu Michael anaweza kuimba. Alithibitisha live jana kwenye uzinduzi wa filamu yake, Foolish Age, pale alipopanda kwenye stage na kuimba kwa ufasaha na Lady Jaydee hit yake Yahaya. Kutokana na kuimba kwa ustadi na bendi ya Machozi, Lulu alituzwa na mvua ya hela na mashabiki, Tazama video.