Wasanii lukuki wa muziki wa kizazi kipya usiku wa jana wamewapatia burudani wakazi wa Tabora kwenye show ya Fiesta iliyofanyika kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. Miongoni mwa mambo yaliyozalisha shangwe la kufa mtu ni pamoja na Amini kumbusu mdomoni mpenzi wake wa zamani Linah waliyependa naye kwenye stage. Tazama picha za namna mambo yalivyokwenda.
Saturday, August 24, 2013
Picha: Serengeti Fiesta 2013, Tabora mcheck Amini akimbusu Linah jukwaani ‘Noma Sana’
at
1:55 PM