Friday, August 9, 2013

PICHA: IRENE UWOYA AKIWA KATIKA MAVAZI YA MAFUNDI UJENZI AKIANDAA SHOW YAKE...


Irene Uwoya ameshaanza mpango mzima wa kutembelea nyumba na kuzifanyia ukarabati akiwa kwenye harakati za ku-shoot show yake. Unaambiwa Irene kwenye show anaonekana kama mkandarasi kabisa akiwa amevaa overall na kofia ya wajenzi. Cheki hizi picha akiwa busy na crew yake wakiandaa show hiyo.......