Friday, August 9, 2013

LULU MICHAEL "MASTAA WENGI TUNAONGEA PUMBA SANA IN PUBLIC"



luluxShule ni kitu cha msingi sana kwa mtu yoyote hasa yule ambaye ni kioo cha jamii au kiongozi. Sasa muigizaji Lulu amechukua hatua zake kwenye hii ishu ya elimu pamoja na kusema maneno,”Gettin more knowledge…..!!!we have to learn….especially sisi celebrities wa bongo….wengi wetu tunaongeaga pumba sana in public…yan hatujui nini tuongee wapi!!!!juc an advice lakni…..!!!!AM GOOD TO GO….”
lulu
Inaonekana Lulu anasoma hiki kitabu ili kimsaidie pale anapoongea mbele ya jamii hasa kwenye interview
lulu2