Staa wa filamu za Kibongo Elizabeth Michael‘Lulu’ametangaza rasmi sehemu zinazopatikana tiketi za uzinduzi wa filamu yake ya Foolish Age inayotajiwa kuzinduliwa August 30,Mlimani City,Dar.

Lulu ameposti tiketi hizo kupitia mtandao wa instragram,amevitaja vituo hivyo ni pamoja na:
1:ROBBY ONE FASHION(KINONDONI) 2:SHEAR ILLUSONS(MLIMANI CITY) 3:LEADERS CLUB(KINONDONI) 4:TCC CLUB(CHANG'OMBE) 5:BIG RESPECT(KARIOKOO) 6:ZIZZOU FASHION(SINZA & VICTORIA) 7:NYUMBANI LOUNGE.

Uzinduzi huo utapambwa na wasanii kadhaa akiwemo Barnaba na Amin.