Monday, August 12, 2013

Justin Bieber Asambaza picha zake alizopiga uchi

Picha za msanii Justine Bieber zimekuwagumzo mitandaoni picha hizo zinamuonesha msanii huyo wa muziki akiwa hana nguo hata moja isipokuwa ni Kifaa cha muziki tu.
Hivi sasa imekuwa ni kawaida kwa wasanii wengi kupiga picha hizi na kuweka katika mitandao Dhamira ikiwa ni kutafuta kuzungumziwa sana na mashabiki au wananchi kwa ujumla na pia kuongeza umaarufu wa mtu huyo.