Monday, August 12, 2013

HIVI NDIVYO WEMA SEPETU ALIVYOSHEREHEKEA SIKUKUU YA EID na BABA YAKE MZAZI

mdadamdada1
  Sikukuu kila mtu huwa anapenda kuisherekea kitofauti zaidi. Hivi ndivyo muigizaji Wema Sepetu aliamua kuisherekea kwa upande wake, alitumia muda wake wa sikukuu ya Eid kukaa pamoja na wazazi wake wote wawili na
kusherekea pamoja nyumbani kwao ikiwa ni pamoja kupiga nao story nyingi. Picha kama hii haijawahi kutoka ikimuonyesha Wema akiwa na wazazi wake wote wawili. Mara nyingi anakuwaga na mama yake na mara moja alionekana kuwa na baba yake