Sunday, August 25, 2013

BREAKING NEWZ,MBOWE,LISSU NA VIONGOZI WENGINE WACHADEMA WAKAMATWA NA POLISI,


MH MBOWE NA TUNDU LISSU wanashikiliwa na polisi mkoani Iringa kwa tuhuma za uvunjifu wa amani. 
Viongozi hao wamekamatwa kwa kosa kutofuata ratiba waliyopewa na polisi ambayo iliwataka waanze mkutano wao saa 7 lakin wao walianza 10:30 na pia kutoa maneno ambayo yaliashiria uvunjifu wa amani. 
Wamekamatwa asubuh hii hotelini kwao IRINGA
Chanzo: ITV