David
Beckham amestaafu kucheza soka baada ya miaka 20 ya kucheza mchezo huo.
Soon baada ya kuweka rekodi ya kuvaa medali ya nne katika ligi kubwa
nne tofauti duniani akiwa na Saint-Germain, nahodha huyu wa zamani wa
England ametangaza rasmi kustaafu soka.
This
latest title was the tenth of his career katika nchi nne, makombe
aliyoshinda na Manchester United ya Premier League, moja kwenye La Liga
na Real Madrid and the two he earned in MLS with the Los Angeles Galaxy.
Beckham ameweza kuichezea England kwenye michezo 115, na aliiongoza
nchi yake katika two World Cups (appeared in three) pamoja na European
Championship.
Pamoja
na uamuzi huu wa kustaafu, but don't expect him to fade into the sunset,
unless it's a fabricated one with cameras rolling and a director
yelling 'Action!' Beckham ataendelea kubaki kwenye spotlight pamoja na
kuendelea kuwa mmoja wacheza soka watakaokuwa wanaingiza mkwanja mrefu
huko mbeleni.
Last
year he made $50.6 million, ambazo ni $6.5 million ndizo zilizotokana
na mashahara wake, akishika nafasi ya kwanza katika listi ya Forbes ya
wanasoka wanaolipwa fedha nyingi. (In fact, so little has salary had an
impact on him, kiasi kwamba katika dili lake na PSG, Beckham opted to
donate his salary to a children's charity.) Kiasi kilichobakia cha $44
million zilitokana na endorsements deals — zaidi ya $33 million kutoka
kwenye deals with Adidas , Breitling, Coty, H&M , na Sainsbury,
mikataba yote itaendelea kwa miaka kadhaa mbele.
Dili
mpya zinaohusiana na soka alizosaini miezi mitano iliyopita itasaidia
kutunisha zaidi mfuko wake. In March, alisaini dili na kuwa Chinese
Super League to become its first global soccer ambassador katika juhudi
ya kuipromoti na kuisafisha image ya soka la nchi hiyo baada ya kukumbwa
na match-fixing scandal. The multi-year, multimillion deal litamfanya
Beckham kusafiri mara kwa mara kwenda China kama ilivyotokea wiki kadhaa
zilizopita pamoja na kucheza mechi za hisani.
Pia
hivi karibuni mwezi wa nne, Becks alisaini mkataba wa kuwa balozi wa
BSkyB, the British satellite TV provider - kampuni ambayo billionea
Rupert Murdoch anamiliki hisa, Beckham atakuwa akionekana kwenye
matangazo ya kuitangaza network hiyo na kushawishi ushiriki wa vijana
katika soka ndani ya UK na Ireland. 's News Corpowns a stake, to appear
in ads to promote the network and encourage youth participation in
soccer across the UK and Ireland. Dili hilo litamuingizia Beckham kiasi
cha $30 million katika kipindi cha miaka 5 years.
As
a result, Beckham ataendelea kutengeneza kiasi kisichopungua $40 million
kwa mwaka huu na ujao, kiasi kinachotosha kabisa kuwa miongoni mwa top
three highest-paid soccer stars kwa pamoja na Cristiano Ronaldo na
mchezaji bora wa sasa wa dunia Lionel Messi.
Pia
hilo linamuweka kwenye category ya aina yake ya wachezaji waliostaafu
wanaowazidi wachezaji wanaocheza mchezo aina yao kwa kuingiza fedha
nyingi. Michael Jordan ndio kiboko yao kwenye listi hiyo, bado
anatengeneza kiasi kisichopungua $80 million a year.
Kama
Mike, Becks baada ya kutengeneza headlines na kustaafu ameanza
kuhusishwa na kutaka kurudi kwenye soka, lakini safari hii sio kucheza
wala ukocha bali kumiliki timu ya soka. Hivi karibuni Becks kwa
kushirikiana na Billionea wa Bolivia Marcelo Claure walitembea huko
Miami wakiangalia namna wanavyoweza kuwekeza ligi ya MLS kwa kumiliki
timu ya soka ndani ya Miami.
PSG pia
wamekaririwa wakisema wana matumaini ya kumfanya Beckham kuwa balozi
wao baada ya kustaafu soka akiwa na klabu hiyo. Majadiliano juu ya
mpango huo na klabu hiyo inayomilikiwa na Qatar Sport Investment ya
serikali ya Qatar yameshaanza.
"Kuwa
na Beckham miongoni mwetu, uwanjani au nje ya uwanja, ni muhimu sana,"
PSG president Nasser Al-Khelaifi alikaririwa nagazeti la Ufaransa,
L'Equipe. "Sie tupo tayari kufanya nae kazi, sasa maamuzi yamebaki juu
yake."
Yote haya yanaonyesha kwa namna ambavyo alivyo na high demand, baada ya kustaafu Beckham ataendelea kutunisha mfuko na kuendelea kuwasumbua akina Ronaldo na Messi kwenye listi ya wanasoka wanaoingiza fedha nyingi annually.