Waandamanaji wakiwa na bango la Martin Luther King katika maadhimisho ya miaka 50 tangu Martin Luther King kutoa hotuba maarufu "I have Dream" katika harakati za kudai haki za kiraia kwa weusi Marekani yaliofanyika Jumamosi katika jiji kuu la Marekani Washington Dc.
Waandamanaji Ruth May na Shawna May wakishiriki maandamano haya ya kihistoria kuadhimisha miaka 50 tangu Martin Luther King alipoandamana Dc na kutoa hotuba yake maarufu "I have a Dream".
Sehemu ya kundi la waandamanaji wakielekea kwenye eneo la tukio.
Wananchi wa Dc walitoa yao ya moyoni wakiwa na mabango mbali mbali kwenye maandamano ya miaka 50 tangu mwanaharakati wa haki za kiraia Martin Luther King kuandamana mwaka 1963.
Wamarekani weusi wanapiga ngoma pia hapa wakisheherekea kwa ngoma za asili.Kwa