| Huyu ndiye kibaka aliye nusurika kifo akiwa mikononi mwa wananchi wenye hasira kali |
| kweli kibaka ukimpa upenyo anachomoka kama upepo kibaka alipata upenyo alichomoka vibaya sana |
| cheki kakoti ka bluu kanapepea watu walibakia tuu huyoo huyoo |
| mhanga wa ajali akitolewa eneo la tukio |
| wananchi wa Arusha wakitoa msaada kwa mhanga wa ajali |
| huyu ndie mhanga wa ajali hiyo |
| hiindio toyo iliyo sababisha ajali hiyo |
| hii ndio gari iliyokuwa imkoseshe maisha muhanga wa ajali hiyo |
| hapa ni baada ya trafk kufika eneo la tukio NA LINDE BLOG |