Sunday, August 11, 2013

.AJALI...AJALI....YA BASI LA MERIDIANI ENEO LA MBWEWE BASI LIMEKATIKA NA SITI ZIPO NJE.

Bai la Merdiani lililokuwa limetoka Rombo kwenda Dar. Limeanguka hapa karibu na mbwewe . Watu wamekufa. Basi limekatika siti zipo njee. Dereva bado hajatolewa. taarifa zinasema dereva wake kafia hapo hapo na abiria wengine pia wamefariki