Mrembo anayetamba kwenye filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ au Madam jana alifuturu pamoja na wageni wake nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waliofuturu pamoja na Wema ni pamoja na Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, Petit Man ‘Wakuache’ na wengineo. Source: IMELDA MTEMAPicha na: GPL