Sunday, July 28, 2013

TAZAMA VIDEO(inasikitisha):wajulishe na rafiki.. Auawa kikatili Kwa Kuanika Taarifa Zake Facebook..



Facebook Hiyo
Kuna tabia ya watu wengi aidha kwa kujua au kutokujua ya kuweka taarifa zao nyingi muhimu kwenye
mitandao ya kijamii. Mwanamke mmoja auawa kwa kuanika taarifa zake facebook. Yeye aliweka taarifa nyingi kumhusu yeye mpaka namba za simu na mahali anapoishi. Hii ni hatari kwabasababu kuna watu wanazitumia hizi taarifa kufanyia uhalifu. Angalia video hii hapa chini.