Wageni waalikwa wakipata futari nyumbani kwa msanii Nisha Jabu.
Mtangazaji wa Star Tv, Sauda Mwilima (kulia) akijisevia futari na wenzake.
Jacqueline Wolper akijisevia.
...Akimimina chai.
Wageni wakizidi kupata futari.
STAA wa filamu za Kibongo, Salma Jabu 'Nisha' jana amefuturisha nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Mastaa mbalimbali wa filamu walihudhuria katika futari hiyo.