Watoto wenzake mtaani wamempa jina la 'Fish Boy' kutokana na kuwa na ngozi yenye muonekano kama magamba ya samaki kuanzia utosini hadi kwenye unyayo wa miguu yake.
Mtoto huyu wa miaka minane jina lake anaitwa Pan Xianhang na alizaliwa huko Wenling, China akiwa na ugonjwa wa ngozi unaojulikana kitaalamu kwa jina la Ichthyosis baada ya ancient Greek word for fish.
Ugonjwa huu wa ngozi umemfanya mtoto huyu aathirike kwenye maeneo ya puwa, macho nasehemu za mwili ambazo zina ukunjo ikiwa kama nyuma ya magoti nk.
Hataivyo pia ugonjwa huu unasababisha baadhi ya viungo vya mwili kusindwa kunyooka kama ilivyo kwa watu wengine.