Wanasayansi wataalam wa masuala yan Anga kutoka European Space Agency/NASA, Solar and Heliospheric Observatory (SOHO) wamegundua kuwepo kwa shimo kubwa katika jua, mfano wa doa jeusi katika upande wake wa kaskazini.kuonekana kwa mara ya kwanza na kuendelewa kufanyiwa uchunguzi tarehe 13 mwezi hii, na tayari wanasayansi hawa wameachia picha ya ugunduzi wao huu mpya.
Shimo hili limeripotiwa kuchukua karibia robo nzima ya upande huu wa kaskazini wa jua