Thursday, July 25, 2013

CHELSEA YAUA 8-1 INDONESIA ALL STARS, BA, LUKAKU, RAMIRESWATUPIA


http://media.viva.co.id/thumbs2/2013/07/25/215971_chelsea-vs-bni-indonesia-all-stars_663_382.jpg

KLABU ya Chelsea imekamilisha ziara yake ya Asia kwa ushindi wa kishindo wa mabao 8-1 dhidi ya Indonesia All Stars na kocha Jose Mourinho anarejea nyumbani nafsi yake ikiwa imeridhika na wachezaji waliowasili mapema.

Romelu Lukaku ameonyesha uwezo wa kufunga kwa kufunga mabao manne katika dakika 135 na Bertrand Traore pia ameonyesha ni kiungo hodari.
Kevin De Bruyne amevutia mjini Bangkok na Kuala Lumpur na mjini Jakarta, Nathaniel Chalobah alikuwa miongoni mwa waliovutia.

Mabao ya Chelsea yalifungwa na Hazard kwa penalti dakika ya 21, Ramires dakika ya 29 na 56, Ba dakika ya 32, Terry dakika ya 45, Traore dakika ya 50 na Lukaku dakika ya 52 na 65.
Bao la kufutia machozi la Indonesia All-Stars limefungwa na Kalas aliyejifunga dakika ya 67.
Just warming up: Demba Ba (left) and Ramires celebrate the Blues going 3-0 up
Y