Saturday, July 20, 2013

ANGALIA PICHA NYUMBANI KWA DIAMOND PLATNUM NA NAMNA TAKE ONE WALIVYOREKODI KIPINDI

Hii ilikuwa siku ya jana baada ya kupata futari na ndugu,jamaa  na marafiki na watu wasiojiweza Presenter wa kipindi cha Take One Zamaradi ambae nae alikuwa  mmoja wa wageni waalikwa aliamua kubadilisha mazingira na kuamua kunifanyia Interview mimi
 pamoja na familia yangu juu ya mfungo huu wa ramadhani na Jinsi tunavyokabiria na mambo
 mbalimbali ya kidunia ndani ya mwezi huu... 
Aliweza pia kuongea na Mama yangu mzazi Bi Sandrah,Cuzin
 Brother Rommy Jones,Dada zangu Esmah & Darlenee ..... Kuzungumzia mambo ya ndani ya kifamilia na n.k



Kuanzia ndani shuguli nzima ilianzia.....
Zamaradi akitangaza nje ya Nyumba .....
 diamond akiwakaribisha wageni toka Take one na crew nzima ya Clouds Tv...
Mahojiano yalianzia nje na Zamaradi....




Baada ya kufturu diamondna familia yake kwa ujumla walikaa chini na kufanya mahojiano na zamaradi mketema......

Rommy Jones akizungumza jambo .....

Mama daimond alishindwa kuzungumza lolote kwa wakati ule......

diamond akizungumza kwa Niaba ya Familia.....

Aunt Tahiya mtoto wa dada yake daimond akisoma Dua  kutufungia zoezi zima la mahojiano na Zamaradi...