Sunday, July 28, 2013

AJALI YAUA KIBAHA JANA USIKU...

 Ajali hiyo imetokea maeneo ya Kibaha jana usiku..kwa mujibu wa shuhuda wetu ahmed ajali hiyo ilitokea baada ya magari matatu yamegongana uso kwa uso...malori mawili na escudo ambapo dereva wa escudo alifariki hapohapo na madereva wengine kujeruhiwa.